Header Ads Widget

Responsive Advertisement

PLAY GIRL=5

Ilipoishia...
....pia Jerry akishajua
amekuambukiza hapo hapo
lazima akutimue kwake, yani ndio
mchezo wake huo.."
"...unasemajeee ..?
Endelea...
"..sasa 'aunt' huniamini au..?"
"..embu chukuwa hela yako nishushe hapa
hapa na endelea na safari yako.."
Maneno makali aliyokuwa amenijaza yule
dereva wa bajaj, yalikuwa yameamsha hasira
zangu upya, nilimpatia hela yake akaniacha
mitaa ya pale 'Ocean road..
Nilijisogeza mpaka karibia na casino ya 'las
Vegas' nikaingia pub moja inaitwa 'Jolly'..
"..nipe Savvanah dry ya baridi.."
Siku zote hasira zikinizidia huwa napenda
kunywa pombe.
Mhudumu aliniletea nikanywa, nikaongeza ya
mwisho nikanywa nakumpatia hela yake.
Nilivyomaliza nikaendelea kujikokota taratibu
huku nikitafuta uelekeo wa chuoni kwetu.
Hakukuwa na haja ya kukodi tena bajaj wala
tax japokuwa zilikua nyingi pale nje huku
nikiamin hata kama nitakodi yatakuwa tena
yale yale aliyoniambia yule wa bajaj muda si
mrefu..
Nikiwa ndio nakaribia kuingia chuoni mara
simu yangu ikaita tena huku mlio ukitokea
kwenye kipochi changu..
Haraka haraka nikaichukuwa nakuipokea..
"..hellow.."
"..jamani Tina hivi kweli leo umeniacha hivi
hivi shosti wangu.."
"..yaani Aisha ni booora hata ningeondoka na
wewe, kwanza hata hivyo nimeshafika hapa
hostel nakuja kukupa yaliojiri huko shosti..
Nilipofika tu nilimtoa Aisha mpaka nje
nakuanza kupiga naye stori usiku kutwa
huku nikimficha kitendo alichonifanyia Jerry
na hata sikumwambia kuwa Jerry kaathirika..
"Hiyo mbon kazi ndogo tu Tina, we cha
maana nipe namba yake ya simu kesho kesho
atajuta kilichomtoa pemba nakuja bongo
kufanya umalaya wake.., na hivi kesho
wikiendi..? Mbona atapatikana tu shosti.."
Alisema Aisha kwa kujidai huku akinishika
mkono nakuingia ndani kulala..
***
Asubuhi na mapema Aisha alikuwa mtu
wakwanza kuniamsha huku akiitaka namba
ya Jerry.. Nilimpa pale pale akampigia simu,
"..jamani Jerry yani mara hii umeshanisahau..
? Anyway leo mie siendi kazini tunaweza
kuonana..?"
Aisha aliongea na Jerry kwa simu huku
akijiamini kwa asilimia zote,
"..shosti yangu Tina, hili limeshapatikana
hapa.."
"..enhe, kakwambiaje..?"
"..kaniambia Jioni ya saa 12 tukutane pale
'chaga bite' Namanga.."
Muda wote tulikuwa tunaisubiri hiyo saa 12
ifike haraka. Hatimaye ilifika na Jerry alikuwa
fasta kumpigia Aisha simu, hivyo tukaenda
mpaka pale na kumuacha Aisha huku mie
nikijificha.
Haikuchukuwa muda nikaiona gari ya Jerry,
hakutaka kushuka hivyo Aisha alimfuata
nakuingia ndani ya gari kisha wakaondoka.
"..ninavyomjua Jerry lazima atakuwa
anampeleka kwake tu.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiita bajaj
upande wa pili fasta..
"..unaiona ile gari mbele, ifukuzie mpaka
mwisho wake.."
"..ile si gari ya Jerry mtata, na tena jana usiku
alimfanyia visa dada mmoja nikampakiza
mpaka 'las vegas' lakini kama atakuwa
hajaambukizwa yule? Kwanza kwa Jerry
huwa hapon..
Nilijikaza nakujifanya kama siyo mimi
niliyepanda bajaj yake jana usiku..
"...hayo maswali mengi yanatokea wapi
wee..?"
Nilivyosema tu hivyo akanyamaza kimya huku
akiniendesha. Mwendo wa kawaida aliokuwa
akiuendesha Jerry kwenye gari lake lililokuwa
mbele yetu, ilinifanya kujawa na duku duku
rohoni huku nikiamini Aisha atakuwa
anafanyiwa kama nilivyofanyiwa jana..
"..kama hashikwi mapaja basi atakuwa
anachezewa maziwa, na Aisha
anavyopendaga hivyo mhh.."
Nilijikuta najiuliza mwenyewe kimya kimya
huku hasira zikinizidia kwa kuendelea
kuitolea macho gari ya Jerry, mpaka ilipokata
kona ya kuingia kwake..
"..sasa we nishushe hapa hapa.., unanidai sh.
Ngapi..?"
"..elfu 3 tu itanitosha.."
Nilimpa hela yake yule dereva bajaj nakuanza
safari ya kuinyemelea gari ya Jerry..
Giza lilikuwa limeshaanza kutanda hivyo
ikawa rahisi kutojulikana Tina mie..
Kwa namna tulivyokuwa tumepanga na Aisha
nikuwa atangulie kuingia na Jerry, kisha
afanye kila njia yakumchanganyia Jerry
vidonge vya usingizi, iwe kwenye juici au
chochote watakachokunywa na akifanikiwa
anipigie simu ili niingie ndani..
Nilijificha pale karibu na geti la kuingilia kwa
Jerry takribani nusu saa bila yakupigiwa simu
yeyote kutoka kwa Aisha, niliogopa endapo
nitapiga mie mchezo wote ungevurugika..
Muda ulizidi kuyoyoma, nilikaa kama lisaa 1
na nusu ndipo nikapata meseji kwenye simu
yangu..
Kuiangalia imetokea wapi? Naliona jina
limeandikwa Jerry, nilihisi vidole
vinanitetemeka huku kama presha ya ajabu
inaninyemelea..
"..nilijua tu Aisha kichwa box ona sasa inshu,
atakuwa ameshashtuka tu Jerry.."
Niliusemea moyo huku nikiifungua ile meseji
kwa spidi nijue kilichoandikwa mule ndani
yake..
"..KAZI IMESHAKWISHA HUKU FANYA HARAKA
UKO WAPI..?"
Bado nilikuwa sijielewi elewi kwa aliyoituma
ile meseji, nilichokifanya nikaifuta ile meseji
nakumpigia Aisha ili nipate kujua ukweli wa
hii meseji..
"..enhee vipi shosti umepata meseji yangu..?"
"..ipi hiyo tena..?"
"..si nimekutumia hapo kwenye simu ya Jerry,
we uko wapi saa hivi..?"
"..nipo hapa nje karibia na geti la huyo malaya
Jerry.."
"..nisubirie hapo hapo nakuja
kukuchukuwa.."
Ndani ya dakika chache Aisha alikuja
kunichukuwa huku kichwani nikijiziba kwa
mtandio ili yule mlinzi asinitambue kwani
jana aliniona nilivyotoka japo ilikuwa usiku
sana. Tulipitiliza hadi chumbani kwa Jerry
tukamkuta kalala fofofo hajielewi,
"..haya jitu lako hili hapa hata halijitambui,
nililipa maji haya hapa niliyoyachangan ya na
vidonge vya usingizi nikaona haitoshi,
liliposinzia tu nikaliongeza na sindano ya
usingizi hii hapa.."
"..nakuaminia shosti wangu wee wa ukweli..."
"...mie ndio Aisha bwana utaniambia nini
nishindwe kufanya..? Ila dah Jerry anajua
kumuandaa mwanamke kabla ya kufanya
mapenzi.."
"..yeah Jerry anajua kweli, kwani ulimpa..?"
"..anhaaa we Tina vipi wewe, yani anilegeze
vyote nakunijaza minyege halafu aniache hivi
hivi tu..?"
"..hujanijibu vizuri Aisha, inamaana Jerry
umesha sex naye..?"
"..si ndio nakuambia Jerry mtamu, nilimpa
kavu kavu aliniambia hana kondomu
nikamuelewa.."
"...Aishaaaaa.. "
"..yani nakwambia Tina, Jerry amenitoa nyege
zangu zote.. Tena alinibembeleza nikampa
akanifanya na nyuma kabisa.."
Aisha alinijaza hasira sana, sikutaka
kumwambia nilichoambiwa na watu
kuhusiana nakuathirika kwa Jerry na
makusudi anayof anya kwa wasichana..
Nilichokifanya nilifungua kipochi changu
nakutoa viwembe..
"..Aisha huyu Jerry si anajifanya kicheche
siyo..? Mie nataka nimtahiri kwa mara ya pili
hapa..."
"..mh aha ha ha Tina usifanye hivyo hapa
chakumkomoa nikumpa chanjo nyingi
kwenye dude lake hili.."
Aisha alishika ile nanii ya Jerry huku mie
nikichanja chanja maeneo ya juu na damu
kumtoka nyingi, Jerry alikuwa bado yupo
usingizini muda wote huo,
"mie nayakata haya madude yake tuondoke
nayo Aisha.."
"achana naye kwanza hapo tu alipo usingizi
ukimuisha atalia sana nadhani utakuwa
mwisho wa umalaya wake.."
Tulipomaliza zoezi lile lakumchanja chanja
Jerry sehemu zake za siri haswa sehemu ya
kichwa kile cha juu ndicho nilikichanja chanja
haswa.
Tukatoka mpaka getini lakini mlinzi akatuzuia
kutoka..
"..mbona mnatoka wenyewe..? Bosi Jerry
yuko wapi..?"
Yule mlinzi akaushikilia ufunguo wake wa
getini vizuri huku anamuita bosi wake Jerry
kwa sauti akienda mpaka mlangoni nakutaka
kuingia...
=>nawaombeni kila anayesoma awe ana
share sana,ili nipost mara nyingi.
Itaendelea baadae saa mbili usiku, usikosee, toa maoni
Photo: Play gal – 05

Post a Comment

0 Comments