Mtaalam wa saikolojia Prisca Janny alibainisha kuwa wanawake wenye hips
kubwa ni wepesi sana wa kupata mimba tofauti na wanawake wenye hips
nyembamba (milonjo) alielezea katika kitabu chake cha "Hips love" cha
mwaka 2008 kuwa wanawake hao wenye hips kubwa wakilala na wanaume huwa
ni rahisi sana kunaswa na mimba.
Pia nchini Uholazi Mtafiti wa masuala ya kizazi Christopher Bincom aliandika katika kitabu chake cha "Birth and Risk" cha mwaka 2004 kuwa wanawake wenye hips pana wanaweza kupata mimba kwa haraka zaidi. Pia alifafanua kuwa wengi wa wanawake hao huwa wanazaa watoto wa jinsia ya kike kutokana na kuwa wengi wanawahi sana kufikia kilele ambapo wanasababisha maji mengi kujaa kwenye sehemu ya chakua cha usiku kwahiyo maji hayo yanasababisha mbegu za kiume Y kushindwa kupenya mpaka kwenye yai.
Alibainisha kuwa mbegu za Kike X huwa zinaweza kuogerea kwenye maji mengi zaidi ya mbegu za kiume hiyo ndio maana zinapenya haraka mpaka kwenye yai kuliko mbegu za kiume Y.

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena