Utengenezaji wa video mpya ya Belle 9 na Joh Makini umeanza na hizi ni baadhi ya picha toka location huku Comedian Joti na Young Dee wakipewa shavu ndani ya kichupa hicho.

.
Sina shaka na wewe mtu wangu huenda umesikiliza single ya Belle 9 inayoitwa Vitamini Music aliyomshirikisha Joh Makini, sasa good news ninayokupatia ni kwamba wakali hao wapo location katika maandalizi ya video ya track hiyo.
Nimekuwekea picha kutoka location

Belle 9 (katikati) akiwa na Joh Makini.

Joh Makini On Set.

Joti on Set.

Joti kutoka Origino Komedi akiwa na Young Dee.

.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena