Kuna watu wamekuwa wakituomba kujua jinsi ya kutengeneza virusi vya kompyuta, Leo tutakufundisha njia za kutengeneza virusi hivi, hivi ni vya kiutani na havileti madhara kwa mafaili yaliyokwenye kompyuta. Njis rahisi ya kutoa virusi hivi baada ya majaribio ni kupitia kuyafuta. Muda mwingine inaweza bidi kuzima kompyuta kwanza, kuwasha na kisha kufuta faili husika.
KWA AJILI YA UTANI TUU! USIWEKE KWA MTU ANAYETUMIA KOMPYUTA YAKE KIKAZI!
Fungua programu ya Notepad kisha fuata maelekezo haya, kumbuka unapotaka lisevu faili husika unaweza chagua jina lolote ila ni lazima umalizie na nukta kisha BAT (.BAT) au nukta VBS (.VBS) fuata maelekezo yote;
1. Kirusi unachoweza weka meseji yeyote ya utani kisha kinazima kompyuta:
Andika :
Andika :
@echo off msg * Habari rafiki shutdown -c "Error! Kompyuta Imegoma Leo!" -s
Kisha hifadhi (save) kama “jinalolote.BAT” ata kwenye ‘Desktop’ au ‘My Documents’ kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.
2. Kulazimisha Uchaguzi wa ‘Caps Lock’ kwenye Kibodi (Keyboard) Usioweza Kutolewa. (Inalazimisha mtu kutumia herufi kubwa tuu)
ANDIKA;
Set wshShell =wscript.CreateObject("WScript.Shell" do wscript.sleep 100 wshshell.sendkeys "{CAPSLOCK}" loop
Kisha hifadhi (save) kama “jinalolote.VBS” ata kwenye ‘Desktop’ au ‘My Documents’ kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.
3. Ejekti deki ya CD au DVD ya laptop au kompyuta yeyote, ata kama zipo zaidi ya moja zote zitafunguka.Ata kama zikifungwa baada ya muda kidogo zitafunguka tena.
ANDIKA;
Set oWMP = CreateObject("WMPlayer.OCX.7" Set colCDROMs = oWMP.cdromCollection do if colCDROMs.Count >= 1 then For i = 0 to colCDROMs.Count - 1 colCDROMs.Item(i).Eject Endelea For i = 0 to colCDROMs.Count - 1 colCDROMs.Item(i).Eject Endelea End If wscript.sleep 5000 loop
Kisha hifadhi (save) kama “jinalolote.VBS” ata kwenye ‘Desktop’ au ‘My Documents’ kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.
4. Hii itafanya Notepad ifunguke bila kufunguliwa na kuandika ujumbe ufuatao kwenye kompyuta husika “Hello, how are you? I am good thanks”. Unaweza badili maneno hayo kiustaa kwa kubadilisha badilisha herufi za maneno hayo katika kodi(code) hii
ANDIKA;
WScript.Sleep 180000 WScript.Sleep 10000 Set WshShell = WScript.CreateObject("WScript.Shell" WshShell.Run "notepad" WScript.Sleep 100 WshShell.AppActivate "Notepad" WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys "Hel" WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys "lo " WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys ", ho" WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys "w a" WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys "re " WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys "you" WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys "? " WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys "I a" WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys "m g" WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys "ood" WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys " th" WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys "ank" WScript.Sleep 500 WshShell.SendKeys "s! " Kisha hifadhi (save) kama "jinalolote.VBS" ata kwenye 'Desktop' au 'My Documents' kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.
5. Kirusi huyu atafanya Notepad ifunguliwe mara kibao kuliko uwezo wa mtu kuzifunga.
@ECHO off :top START %SystemRoot%\system32\notepad.exe GOTO top
Kisha hifadhi (save) kama “jinalolote.BAT” ata kwenye ‘Desktop’ au ‘My Documents’ kisha unaweza jaribu au kumtumia rafiki unayetaka mtania.
JE UMEJARIBU YEYOTE, TUAMBIE IMEKUWAJE
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena