Header Ads Widget

Responsive Advertisement

FAHAMU | Hivi ndivyo Twiga anavyofanya usafi wa mwili

Kama kawaida Rorya Finest inaendelea Kukujuza vitu ambavyo unaweza kuwa huvifahamu kabisa au unavifahamu lakini sio kwa undani wake basi leo tunakuletea Je wajua kuhusiana na mnyama aina ya Twiga? yaani Girrafe kwa lugha ya Kiingereza.

Je Wajua kuwa Twiga anaweza kusafisha masikio yake kwa kutumia ulimi wake wenye urefu wa inch 21?
Kama hujui basi Chukua hiyo kutoka Rorya Finest


Post a Comment

0 Comments