Kuwa na Mpenzi asiyemridhisha,
inaweza tokea mtu ana mtu wake lakini bado anahisi kama hayuko sehemu
sahihi hivyo mara nyingi huwa hajisikii amani katika uhusiano, Siku za
mwanzo
atajitahidi kuvumilia ila baada ya muda uzalendo humshinda hivyo anaweza
jikuta anajiachia kwingine na njemba zinachojoa chupi na
kumsokomeza dude kama kawaida.
Kutoridhishwa huku inaweza
kutokea katika Nyanja zifuatazo:
*Kiuchumi,yaani mwanaume
amechacha hawezi kumhudumia mahitaji anayotaka.
*Kingono,yaani mwanamke
anashindwa kufikishwa kileleni na kumfanya afurahie mapenzi kama wengine.
*Kitabia,hii hutokea pale mtu
unapokuwa na mpenzi mwenye tabia tofauti ambazo hazikupi furaha hivyo anaamua
kuachia ngazi na kupeleka uchi wake kwa jamaa mwingine.
Hivyo inashauriwa kuwa makini
sana na mpenzi uliyenae na kumchunguza kama ni sahihi au la, ili asije
akakutenda.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena