Header Ads Widget

Responsive Advertisement

FAHAMU | Vanessa Mdee alilipwa na Jux katika #Sisikii

10895144_1539207049668717_2055576873_n
Jux amefunguka na kusema kuwa alimlipa Vanesaa Mdee ali awe Video Queen katika nyimbo yake inayotamba kwa sasa ya #Sisikii.
Akifanya interview na Bongo5.com  alifunguka na kusema "Ni kweli nilimlipa"
Vanessa pia lifunguka na kusema "Ni kweli alinilipa, I dont like to do videos sio kitu ambacho ninafanya na ilikuwa ni challenge kwangu. Alinilipa hela ya ambayo ingeniwezesha kuwa model katika video hiyo.
Vanessa aliongeza kuwa yeye hupenda kufanya kazi na waongozaji wapya na hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kufika China ambako video hiyo ilikofanyikia.

Post a Comment

0 Comments