Header Ads Widget

Responsive Advertisement

News | D'Banj kuwadondosha Amber Rose na Black Chyna Nigeria.

Amber n Chyna
 D'banj anatarajiwa kuwaleta wasanii wakali kutoka USA Amber Rose na Black Chyna katika event yake ya 10th Anniversary movement itakayofanyika weekend hii january 31 jijini Lagos.
Amber Rose ndiye atake kuwa Host wa shughuli hiyo.
Amber Nigeria
Amber alandika hivi katika ukurasa wake wa Instagram
amber insta

Post a Comment

0 Comments