Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Nywele za Linkoln zapigwa mnada.

Vitu vya kumbukumbu vya Rais wa zamani wa Marekani marehemu Abraham Linkoln vimepigwa mnada katika jiji la Dallas na kupata dola 800,000.
Lincoln
 Nywele za Linkoln ziliuzwa kwa Dolla 25,000. Lakini barua aliyokiri  kuwa vita vya wenyewe kwa wenyewe sio vizuri haikuuzwa.
barua
Ukusanyaji wa vitu hivyo ulianzishwa na ndugu  Donald Dow aliefariki miaka kadhaa ilopita

Post a Comment

0 Comments