Mwenyekiti
wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akiwa kwenye kizimba cha mahakama tayari kusomewa shitaka linalomkabili.
Mwenyekiti
wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akiwa kwenye chumba cha Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo mchana wakati alipofika
kusomewa shitaka la kesi yake ya jinai kwa kuwashawishi wafuasi wake
kufanya fujo baada ya kutiwa mbaroni jana alipokuwa akiongoza maandamano
ya wanachama wa CUF.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo alipofikishwa kusjibu shitaka la
kuhamasisha wanacham awa chama chake kufanya jinai.
Wafuasi wa CUF, wakiwa nje ya Mahakama hiyo wakimsubiri Mwenyekiti
wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba
Wanachama na Wafuasi wa CUF wakiimba nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti
wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akiwatuliza wanachama na wafuasi wa chama
hicho kuacha kelele katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Mwenyekiti
wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupata dhamana na kutoka nje ya Mahakama hiyo.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena