Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Rais Kikwete awasli Berlin kuungana na Viongozi kujadili Mipango ya Utoaji chanjo kwa watoto.




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Fawzia Rasheed, Mkuu wa Sera wa Global Alliance for Vaccines and Immunization (Gavi Alliance) alipotua mjini Berlin, Ujerumani,Jana Jumatatu 26, 2015 kuungana na viongozi mbali mbali duniani kujadili  jinsi ya kuboresha mipango ya utoaji chanjo kwa watoto wadogo hasa katika nchi zinazoendelea.Picha na IKULU

Post a Comment

0 Comments