Header Ads Widget

Responsive Advertisement

WAFANYA BIASHARA WAGOMA K'KOO

Taarifa zilizotufikia hivi sasa ni kwamba wafanya biashara wa kariakoo wamegoma baada ya mwenyekiti wao Johnson Minja kukatatwa,sababu za kukamatwa kwa mwenyekiti huyo bado hazjajulikana.

wafanya biashara waliogoma ni hususani  wenye maduka ya Nguo na Spea,mitaa yote ya Congo,Sikukuu na Swahili.

Post a Comment

0 Comments