Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Exclusive VIDEO kwa ajili yako mtu wangu, Baba LEVO feat. Queen DARLEEN- ‘Sherehe’

Audio ya hii ngoma ilitoka mwaka jana, watu wakakaa zao kuisubiri VIDEO, Baba Levo mwenyewe aliwahi kuniambia hii ni VIDEO ambayo ameweka pesa nyingi zaidi kuifanya mpaka imekamilika kuliko video zake zote tangu aanze kufanya muziki. Humo ndani yupo Queen Darleen na Peter Msechu, jamaa ambaye Baba Levo huwa anamtaja sana kwenye story zake za kila siku. ‘Sherehe‘ yote imefanywa ndani ya mitaa ya DAR, watu wa nguvu time yenu kuenjoy na hii halafu unaweza kuniambia wewe unampa maksi ngapi Baba la Baba kwenye hii?

Post a Comment

0 Comments