Header Ads Widget

Responsive Advertisement

P Unit feat. Yemi Alade- ‘Different’. Kwa time yako unaweza kuisikiliza hii audio mpya hapa

PUnit feat. YEMI Kuna story ambayo ilishtua fans wa muziki Afrika Mashariki, hii ni ule uvumi kwamba eti P Unit walikuwa wanaelekea kutengana! Frasha aliikanusha hiyo, wamethibitisha kwa vitendo kwamba P Unit bado iko na sisi tena na tena, wana ngoma mpya ambayo humo ndani yuko mdada ambaye Afrika inaujua uzuri na ubora wa kazi zake, Yemi Alade. Tuna ushahidi wa P Unit kufanya ngoma kali kama ile Mobimba waliyomshirikisha Alicios, tuisikilize na hii halafu tuone kama muungano wao umetoa ladha amazing hivi..

Post a Comment

0 Comments