Header Ads Widget

Responsive Advertisement

#News | Haya Hapa majina ya Waliokuwemo katika ajali iliyotokea Mbeya Leo

Hili  ndilo  eneo la ajali 

Mwenyekiti wa kamati ya  usalama  barabarani mkoa  wa Iringa  Salim Asas  (kulia )  akimtazama mmoja kati ya majeruhi  22  waliolazwa katika  Hospitali ya  wilaya ya  Mufindi mkoani Iringa ambao  walipata ajali  mbaya baada ya  basi la majinja lenye namba za usajili T348 CDE kugongana na lori na  kufunikwa na kontena lake jana eneo la Changalawe nje  kidogo ya  mji  wa Mafinga ,katika ajali  hiyo  watu 42  walifariki  dunia
Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa Amina Masenza  wa  pili kulia akiwa na  viongozi  mbali mbali  wa  tatu ni kamanda  wa polisi mkoa wa Iringa  Ramadhan Mungi , akifuatiwa na mwenyekiti wakamati ya usalama barabarani mkoa wa Iringa  Salim Asas na mkuu wa wilaya ya  Mufindi Mboni Mhita jana  walipofika  eneo la  ajali iliyoua 42 na kujeruhi 22

basi  likiwa limefunikwa na kontena la Lori
Baadhi ya majeruhi  wa ajali  hiyo 

 
ABIRIA WALIOKUWAMO KATIKA BASI HILO NI PAMOJA NA
 Baraka Ndone  (dereva) Yahya  Hassan (kondakta), Esther    Emmanuel, Henry Lugano, Lusekelo Enock, Jeremia  Watson, Hamad, Olga Solomon, Neto, Theresia Kaminyoge, Frank Chiwanga, Luten Sanga, Alfred Sanga, Doto Katunga,  Juliana Bukuku, Esther Fide1,  Paulina Josia.

 Iman Mahenge,  Catherine Mwate, Mathias Justine,  Rebbeca Kasambala,  Upendo William, Mbamba Ipyana,  Ndulile Kasambala, Dk. A. Shitindi, Six Erick, Frank Mbaule, Mustafa Ramadhani,  Musa, Omega Mwakasege, Shadra Msigwa, Lucy Mtanga, Charles Mweisonga, Martin Haule, Dominick Mashauri, Kelvin Ebadi, Juma Saidi,  Nicko,Ester Emanuel, Lusekelo Enock, Jeremia Watson, Digna Solomoni na Frank Chiwango.

Wengine ni Luteni Sanga, Teresia Kamingage, Dotto Katuga Ester Fidelis, Paulina Justine, Mbamba Ipyana, Catherine, Mwajengo, Zera Kasambala, Rebeka Kasambala, Shadrack Msigwa, Mathias Justine, Juliana Bukuku, Cristina Lyimo, Martin Haule na Dominick Mashauri.

Weengine ni Ester Willy, Lucy Mtenga, Erick Shitindi, Edwiga Kamiyeye, Frank Mbaula, Mustapher Ramadhani, Kelvin Odubi, Upendo William, Charles Lusenge, Neto Sanga, Pili Vicent, Daniel, Jacob Doketa Iman Mahenge na Juma Sindu.

Pia walikuwepo waliotambuliwa kwa jina moja moja ni , Amadi, Musa, Elias, Raphael, Hussein na Oswald.

Habari kutoka Mbeya zinaeleza kuwa wakati basi hilo linaondoka kituoni abiria waliokuwepo kwenye basi hilo walikuwa ni 37 ambao ni: 

Post a Comment

0 Comments