Header Ads Widget

Responsive Advertisement

News | Jeshi la Kenya Laanza mashambulizi


Jeshi la Kenya limeshambulia maeneo mawili ya jimbo la Gedo nchini Somalia,ambalo ni makao ya wapiganaji wa kundi la Alshabaab,ikiwa ni shambulizi la kwanza la kulipiza kisasi tangu shambulio la chuo kikuu cha Garissa,mashariki mwa Kenya ambapo watu 148 waliuawa.

Post a Comment

0 Comments