Header Ads Widget

Responsive Advertisement

AFYA YAKO | FAIDA ZA UKWAJU KATIKA MWILI WAKO

Ukwaju kwa kawaida huwa na ladha fulani hivi ya uchachu, lakini pia ni moja ya kiburudishio kizuri ambacho kimeshehni virutubisho kadhaa. 


Leo nimeona ni vyema tuendelee kufahamishana haya mengine kuhusu matumizi ya ukwaju na faida zake mwilini. 

Matumizi ya mara kwa mara ya juisi ya ukwaju huwasaidia sana wale wenye shida ya bawasiri au mgoro, hivyo ni vyema watu wenye tatizo hilo wakatumia mara kwa ukwaju. 


Mti wa ukwaju

Pia wale wenye shida mbalimbali za magonjwa ya ngozi wanashauriwa kutumia majani yam mmea wa ukwaju kwa kuoshea ngozi kwani husaidia pia katika kuondoa matatizo mbalimbali ya ngozi. 

Pamoja na hayo, unapochemsha majani yam mea wa ukwaju kisha ukachanganya na magadi na kutumia mchanganyiko huo kumpaka mtu mwenye ugonjwa wa tetekuwanga (chicken pox) basi husaidia kuponya tatizo hilo.

Jiunge Nasi hapa 
@RobhinEdson

Post a Comment

0 Comments