2. Alikuwa mmoja ya wanawake muhimu katika TANU na harakati za kudai uhuru, na baadaye Mbunge na Naibu Waziri (Afya)
3. Oktoba 1969 alikamatwa, na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kupanga njama za kuipindua serikali.
Miaka mitatu baadaye aliachiwa huru kwa msamaha wa Rais. Alifariki Nov 5, 2000 Jiji Johannesburg, Afrika Kusini alipokuwa kwa matibabu.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena