Header Ads Widget

Responsive Advertisement

NEWS | WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR, MHE. OMAR YUSSUF MZEE AWASILISHA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016

Waziri wa Fedha akiinua Begi lenye Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati akiingia katika ukumbi wa mkutano kuwasilisha Hutuba ya Bajeti jana jioni katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Chukwani.
Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akishindikizwa na Askari wa Baraza kuingia katika ukumbi wa Mkutano kwa ajili ya kusoma Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar jana jioni.
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omar Yussuf Mzee akisoma Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Kikao cha Bajeti kwa kimeaza jana kwa kusomwa Bajeti ya Mwaka 2015-2016

Post a Comment

0 Comments