(Picha kwa msaada wa mtandao) |
Mtu mmoja kati ya wakimbizi kwenye kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu
mkoani Kigoma Kaskazini Magharibi mwa Tanzania,amefariki dunia kutokana
na ugonjwa unaodhaniwa kuwa ni Ebola.
Tayari uchuguzi wa kitabibu umeanza ili kuthibitisha kama mgonjwa huyo aliugua ebola au ni ugonjwa mwingine.
Hata hivyo, madaktari mkoani humo wameshindwa kukanusha ama kuthibitisha juu ya kisa hicho kuwa ni ugonjwa wa Ebola hadi hapo matokeo ya uchunguzi huo yatakapokamilika.
BBC imezungumza na kaimu mganga mkuu wa mkoa wa Kigoma huko nchini Tanzania Dr. Shija Ganai kujua undani wa kisa hicho.

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena