Rais wa Rwanda Paul Kagame aliingia madarakani tangu mwaka 1994 na anatarajia kumaliza muda wake mwaka 2017.
Gazeti ya News Times kupitia
kwa wachambuzi wa kisheria limesema kuwa kati ya watu milioni 3.7 kati
yao ni watu 10 tu waliopinga Kagame kuwania Urais kwa muhula wa tatu.
Katiba ya nchi hiyo inaruhusu Rais kuongoza kwa mihula miwili tu.
April mwaka huu Taifa la Burundi
liliingia kwenye mgogoro wa kisiasa baada ya Rais Pierre Nkurunzinza
kuwania muhula watatu kinyume na katiba ya nchi hiyo.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena