Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Kutoka Jamii Forum | USHINDI WA CCM HUU HAPA

 

vigezo vikuu ni vitatu:

1. Ushindi katika uchaguzi serikali za mitaa - ccm ilishinda 80%+
2. Uwepo wa mbunge wa chama husika - ccm ilishinda 70% +
3. Penetration au kukubalika kwa chama - penetration ya ccm ni kubwa zaidi...

hivi vigezo ukawa mmevitumia vibaya kwani baadhi ya maeneo wabunge wenu hawana mvuto tena.... pia ushindi wa serikali za mitaa ni personalized zaidi...wananchi walichagua watu sio vyama .... mlitaka kuwadhulumu wengine nafasi ya kugombea tu...

so kama tukitumia data hizi kuamulia uchaguzi mkuu then twaweza na yoyote yupo sahiii.

Post a Comment

0 Comments