Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
George Masaju akitoa mada katika mkutano w wabunge , bungeni mjini
Dodoma Januari 22, 20167. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.
Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt.
Thomas Kahilillah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge,
bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Kulia ni Spika wa Bunge Job
Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah.
Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza kumkaribisha Mwenyekiti wa
Mkutano wa Wabunge, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kufungua mkutano huo
bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Kulia ni Katibu wa Bunge Dkt.
Thomas Kashilillah
Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Nenelwa Mwihambi akitoa mada
katika mkutano wa wabunge ulioongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
buneni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Watatu kulia ni Spika wa Bunge Job
Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashilillah
Wabunge, Jenista Mhagama wa
Peramiho (kushoto) na January Makamba wakiteta katika mkutano wa
wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mbunge wa Arumeru
Mashariki, Joshua Nasari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari
22, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifurahia jambo na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari wakati
aaliposalimiana naye kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 22,
2016.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena