Mwanadada Dayna Nyange baada ya kuwasubirisha mashabiki kwa muda ameamua kuachia video ya wimbo wake Komela. 
Komela ni wimbo wa mapenzi ambao uliandaliwa na mtayarishaji wa muziki Mr T-Touch na kushirikisha mistari ya mmoja kati ya vijana wanofanya vizuri sana kwenye tasnia ya muziki kwa sasa Billnass. 
Video ya wimbo huu umeongozwa na Ivan.