Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Tshabalala Atwaa Tuzo Ya MwanaSoka Bora Tanzania



Mlinzi Wa klabu ya #Simba SC #Mohammed Hussein Zimbwe ametwaa tuzo ya mchezaji bora Wa ligi kuu Tanzania bara-VPL msimu 2016/17,tuzo iliyotolewa muda mfupi uliopita katika ukumbi Wa mlimani city jijin Dar es salaam.
Ni Mara ya pili mfululizo kwa mabeki kuwa wachezaji bora Wa msimu kwani mwaka Jana #Juma Abdul Wa Yanga alitwaa tuzo hiyo.
HUSEIN amepata kiasi cha shilingi milioni 10.
Amewashinda
#Simon Msuva
#Shiza Kichuya
#Haruna Niyonzima
#Aishi Manul

Post a Comment

0 Comments