Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Picha | Beach Zafurika Watu Sikuku ya Eid

Siku za weekend ni kawaida watu kushinda nyumbani na familia au kuwa sehemu wakibadilishana mawazo, wengine hutumia muda huo kutembelea ndugu na jamaa.. lakini inapofika Sikukuu huwa tofauti, wapo wanaopendelea kwenda sehemu za kuenjoy zaidi kwenye ufukwe wa bahari.
Sasa hapa nimekusogezea picha 20 za watu mbalimbali wakisheherekea leo June 26, 2017  sikukuu ya Eid al Fitr  katika ufukwe wa bahari Coco Beach Dar es Salaam.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Post a Comment

0 Comments