Header Ads Widget

Responsive Advertisement

PICHA | IGP Sirro Afanya Ziara Mkoa wa Kipolisi TARIME-RORYA

Mkuu
wa jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Sirro akikata utepe katika
uzinduzi wa  jengo la kikosi cha Usalama Barabarani Tarime Rorya.




Mkuu
wa jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Sirro akiweka jiwe la
Msingi katika jengo la Mazoezi Mkoa wa Polissi Tarime- Rorya.



Mkuu
wa jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Sirro  akisalimiana na 
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Wilayani Rorya Mkoani Mara Samwel 
Kiboye

Mkuu wa jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Sirro akisalimiana na Mkurugenzi wa SACHITA FM Radio Peter Mwera
Mkuu
wa jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Sirro akisalimiana na
Makamo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Bathoromeo Machage


Mkuu wa jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Sirro akisalimia na na Diwani wa Kata ya Nyanungu Rioba Mang'enyi
Mkuu wa jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Sirro akisalimiana na Katibu wa Mbunge Jimbo la Tarime Mjini Piter Magwi.



Piter
Magwi katibu wa Mbunge jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko akiwasilisha
hoja kwa niaba ya Mbunge ambapo amemwomba IGP Kufikisha changamoto
yaupatikanaji wa  Mashine ya Utengenezaji wa Leseni  ili leseni hizo
ziweze kupatikana Tarime kwa lengo la kuondoa hadha ya kuzifuata Musoma.
Mkuu
wa kikosi cha Usalama Barabarani Tarime- Rorya Joseph Bukombe
akiwasilisha taarifa kwa IGP Sirro na Kuomba Mashine ya Kutengeneza
Leseni iwepo Tarime ili kupunguza hadha.
Picha ya Pamoja na Kamati ya Usalama Barabarani Tarime Rorya
Picha ya pamoja na viongozi wa Muungano wa Jamii Tanzania  MUJATA





Picha ya pamoja Viongozi wa Waendesha pikipiki Wilaya ya Tarime.

Mkuu wa jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Sirro  akielekea kwenye Paredi  kewa ajili ya ukaguzi
Mkuu wa jeshi la Polisi Nchini Tanzania IGP Simon Sirro akikagua Paredi Jeshi la Polisi tarime Rorya


Mazoezi

Post a Comment

0 Comments