zilitokea stori za chinichini kwamba Mwigizaji Irene Uwoya ameolewa na Msanii wa Bongofleva Dogo Janja ila hazikua zimethibitishwa, leo ndio mwenyewe Irene kathibitisha na kusema “bado anatokwa machozi ya furaha“

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena