Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Picha | RC Mpya Mara Mhe. Adam Malima Ametembelea Mji wa Tarime

Mkuu
wa Mkoa wa Mara Adam Malima akiongea na Watumishi wa Halmashauri ya 
Wilaya ya Tarime ambapo amesema kuwa kwa sasa suala zima la Amani kwa 
Tarime ni Mzuri  huku akiwataka waandishi wa Habari kuandika mazuri 
yanayofanyika Tarime na siyo kuandika mabaya tu
Mkuu wa Wilaya ya Tarime akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime Marwa Daud.
Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Tarime wakisubiri ujio wa Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima.
Katibu wa Umoja wa  Vijana UVCCM Wilaya ya Tarime Newton Mwongi akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga.

Katibu
wa Umoja wa Vijana UVCCM Wilaya ya Tarime Newton Mwongi akisalimiana na
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa.


Mkuu wa Mkoa wa Mara akipokelewa.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime Marwa Daud.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akisalimiana na Mkurugezni wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntiruhungwa.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akisalimiana na Mkurugezni wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akisalimiana na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Tarime Newton Mwongi
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akisaini kitabu cha Wageni kwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga.
Kikao cha Pamoja Ukumbini.
Mkuu
wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akisisitiza jambo baada ya Mkuu wa 
Mkoa wa Mara kuongea na Watumishi wa Halmashauri mbili Wilaya ya Tarime 
Vijijini na Mji.


Mkurugenzi wa Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa akitoa zawadi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mar Adama Malima.
Mkuu
wa Mkoa wa Mara akitoa Shukrani kwa Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious 
Luoga baada ya kukabidhiwa zawadi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya
ya Tarime Apoo Castro Tindwa.
Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima akitazama kwa makini Zawadi aliyopewa..
TAZAMA VIDEO MKUU WA MKOA MALIMA  ALICHOKISEMA HUKU AKISISITIZA WAANDIHI WA HABARI KUANDIKA MAZURI YANAYOFANYIKA MKOA WA MARA.

Post a Comment

0 Comments