Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Fahamu | Mambo matatu ya kufahamu kutoka Azam FC leo December


Club ya Azam FC kuelekea mchezo wake wa FA na kuelekea kuanza kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2018, imefanya mkutano na waandishi wa habari na kueleza mikakati yao kuelekea kuanza kwa michuano hiyo.
Kupitia afisa habari wa Azam FC Jafari Iddi Maganga amethibitisha kuwa Azam FC wataenda Zanzibar katika michuano ya Mapinduzi Cup wakiwa na kikosi kamili na sio timu ya vijana lakini pia wataenda na Mbaraka Yussuf ambaye kwa sasa ni majeruhi.

Post a Comment

0 Comments