Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Uchaguzi wa Marudio | Upinzani Kususia Uchaguzi Si Jambo Geni - NEC

Image result for Kailima Ramadhani

Leo December 20, 2017 Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kailima Ramadhani ameeleza kuwa kushiriki au kutoshiriki kwa vyama vya siasa kwenye uchaguzi sio habari mpya kwani ni suala ambalo limeshatokea kipindi cha nyuma.
Ameeleza kuwa kuna maeneo baadhi wa wagombea na watu wanaomba uchaguzi uahirishwe jambo ambalo haliwezekani kwani uchaguzi unaongozwa kwa mujibu wa sheria.
Zaidi amesema moja ya sababu za kisheria zinazoweza kufanya Tume ya Uchaguzi iahirishe uchaguzi wa eneo fulani ni kama kuna mgombea ambaye amepoteza maisha na si vinginenyo.

Post a Comment

0 Comments