Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Breaking News | Raila Odinga, Rais Mpya Kenya...Aapishwa chini ya Ulinzi Mkali

Related imageRaila 'akula kiapo'Raila 'akula kiapo'Raila 'akula kiapo'
Raila Odinga amefika katika pamoja na viongozi kadha wakuu wa NASA na kujiapisha akishika Biblia.
Amewaambia kuwa mgombea mwenza wake Kalonzo Musyoka wa chama cha Wiper ataapishwa baadaye.
Viongozi wengine wenza wa Nasa Moses Wetangula na Musalia Mudavadi pia hawakufika katika wuanja huo.
Bw Odinga amesema leo ni siku ya kihistoria kwa Kenya.
"Hatua ya leo ni kuelekea kutoa udikteta na kuleta demokrasia Kenya"
"Maelekezo mengine mtayapata baadae"Umati

Post a Comment

0 Comments