Header Ads Widget

Responsive Advertisement

News | Chadema wamkataa msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kinondoni (+Video)

Kufuatia uchaguzi unaoendelea Jimbo la Kinondoni hatimae Chadema wameibuka na kudai kuwa CCM wamewaleta vijana 105 kutoka zanzibar kwaajili ya kuvuruga uchaguzi huo wa Marudio ambao wamefikia katika hoteli moja hapa Dar es salaam, Pamoja na hayo chama hicho kimemkataa msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Kinondoni kwa madai ya kushindwa kusimamia uchaguzi. Tazama video hii Mkurugenzi wa Operesheni na Mfunzo Chadema akifunguka.



Post a Comment

0 Comments