Header Ads Widget

Responsive Advertisement

VPL | Obrey Chirwa Aizamisha Njombe Mji Shamba la Bibi


Mpira umemalizika katika dimba la uhuru na mabingwa watetezi Ligi kuu ya vodacom Tanzania yanga sc wameibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Njombe mji kutoka mkoani Iringa.Wafungaji wa yanga alikuwa ni mzambia Obrey chirwa aliyefunga goli tatu yaan Hat trick na Emmanuel martin.

Post a Comment

0 Comments