Basi la kampuni ya Kimotco limesombwa na maji na kusababisha vifo vya watu wanne.
Basi la kampuni ya KIMOTCO lililokua linatoka Musoma kwenda Arusha kupitia Mugumu, limepata ajali katika mto wenye viboko ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti.
Maji yamesababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha hifadhini. Chanzo JamiiForum.com
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena