Na Elisha, Otaigo
NCHI YETU USTAWI WETU
Leo tunagalie Jinsi ya Kutengeneza Bustan yako ya Mboga Mboga kwa gharama nafuu kabisa Hii itasaidie wewe Na familia Yako kupata Mboga ya uhakika lakini pia waweza Kujipatia Senti kwa Kuuza kwa majirani.
Vifaa
Udongo, makopo/ndoo, mchanga/Pumba za mpunga (Rice husk), Mbole ya samadi iliooza vizuri.
Udongo - Kwa ajili ya kuwezesha mmea kusimama, pia kupatia virutubisho mmea

Mchanga/Rice husk - Kusaidia mizizi kupita kwa urahisi, pia kuweka mazingira mazuri ya hewa na maji katika udongo yaani mzunguko wa maji na hewa.
Mbolea ya samadi - Kutoa virutubisho kwa mmea
Hatua za utengenezaji.
- Changanya udongo wako na mchanga/rice husk pamoja na mbole katika uwiano wa 5:2:1.
5 udongo, 2 samadi, 1 Mchanga/rice husk
- Toboa makopo yako kwa chini ili kuzuia maji kubaki kwa wingi kwenye kupo na weka pamba kwenye matundu uliotoboa.
- Weka udongo uliochanganywa vizur kwenye makapo/ndoo. Hapo utakuwa tayar kupanda mbegu zako ama mche wa mboga aina yoyote.
- Kuepuka uchafuzi wa mazingira kwa maji yanayo toka kwenye makopo endapo makopo hayo yapo kwene simenti, weka makopo/ndoo hayo juu sahani/besen

Uangalizi.
- Mwagilia mboga yako mara tu baada ya kupanda na kuendelea ikitegemeana ni aina gani ya mboga.
- Unapoona magonjwa hasa fangasi wa ukungu na wadudu wa mboga unaweza tumia dawa zisizo za kemikali za viwandani kama vile majani ya pilipili kichaa, mwarobaini na tumbaku.
- Mboga kama sukuma wiki waweza vuna mara kwa mara, kazi yako ni kumwagilia tu.
- unatakiwa kubadilisha udongo wako kwa muda mfano. baada ya mavuno 2 ili kuakikisha mboga zako zina pata virutubisho ya kutosha.. ( Hii inategemeana ni aina gani ya mboga)

Faida
- Inapunguza utumiaji wa kemikali za viwandani
- Gharama za uhitaji wa mboga za majani.

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena