Teknolojia imefanya maisha yawe mazuri, mepesi na kufurahisha sana. Leo daktari akiwa nyumbani kwake anaweza kumfanyia diagnosis mgonjwa aliye kwake, kiziwi anaweza kuwasiliana na watu wengine kwa kuchomekewa kifaa cha wireless kinachomwezesha kusikia, tunaweza kula, kuvaa, kusafiri, kukutana, kuuza na kununua kwa kusukuma tu kitufe cha simu. Maisha yamebadilika sana ukilinganisha na miaka 15 iliyopita, lkn je ni kweli maisha ya siku za baadae yanafurahisha kama tunavyoaminishwa?? Je kuna mtu ...
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena