Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MPYAAAAAAAAAAAAAAAAA::::::::::: ALL THE WAY FROM UTEGI RORYA.

Kwa wapenzi wa burudani za sanaa za maigizo na vichekesho wilayani rorya sasa kaeni mkao wa kula kwani Uongozi wa Kituo cha Mawasiliano Utegi wakishirikiana na Uongozi wa Rorya Finest Blog pamoja na The Robhinson Inc Pro kwa pamoja wanakuletea kitu kipya sokoni kilichotengenezwa hapa hapa nyumbani Utegi. filamu inaitwa mume bwege huku ikiwa imesheehni vipaji mbalimbali toka kwa wakali wa sanaa za maigizo hapa nyumbani. Filamu hii imetengenezwa na kampuni ya Revolution Media chini ya muongozaji Eddy Moe.
Usipitwe na hii ewe mkazi wa Utegi.
Hizi hapa ni baadhi ya picha zikionyesha vipande vilivyomo ndani ya filamu hiyo matata.









Post a Comment

0 Comments