Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Hii ndio Good news kwa Ommy Dimpoz na Sauti Sol mwaka huu wa 2015

.
Omary Faraji Nyembo aka Ommy Dimpoz ambaye bado yuko Nairobi kiziara, time hii ameingia studio na kundi la Sauti Sol kurekodi single mpya.
Kupitia kwenye Instagram, Sauti Sol wamepost picha saa kadhaa zilizopita na kuandika; “Late night #studiothings in Nairobi with our Tanzanian brother @ommydimpoz Always great to connect!!#TeamSautiSol Muziki moto iko jikoni!!!! 2015 work!!!”– @sautisol

Post a Comment

0 Comments