Forbes wametoa orodha ya watu maarufu wenye umri
chini ya miaka 30 wanaofanya vizuri kwenye kazi zao tofauti. Producer
Hit Boy ’27’ ndio mkubwa zaidi kwa miaka kwenye orodha hii kwa upande
wa Hip Hop na mdogo kabisa ni Chance the Rapper ’21’.
Wasanii wengine waliotajwa ni Big Sean ’26’ , Azealia Banks ’23’. Mike Will Made it ’25’ , Dj Mustard ’24’ na Asap Rock ’26’ .
Kwenye list hii pia yupo Iggy Azalea ’24’ aliyefanya vizuri na
wimbo wake wa Fancy mwaka jana, staa wa R&B Jhene Aiko ’26’ FKA
Twigs ’26’, Ed Sheeran ’23’ Na Sam Smith ’22’.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena