Msanii wa Rnb uliyemsikia kwenye hit zake kama 2 On na Pretend
“Tinashe” ameng’arisha jarida la V kwa picha zake akiwa kifua wazi
kwenye toleo la mwaka 2015.
Tinashe amezungumzia kufananishwa na Jhene Aiko na kusema ‘ kama kila msanii anatengeneza kazi bora basi wote tuna nafasi yetu kwenye muziki ila tusichanganye mashabiki ‘.
Credits #SamMisago.Com
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena