.
.
Good news ninayokusogezea ni ya msanii kutokea label ya Chocolate City, Victoria Kimani ambaye jana ni mmoja ya waliosikika AMPLIFAYANI, story ambayo alisikika nayo ni kuhusika kwake kuandika wimbo wa msanii wa Japan anayefahamika kama A.I.
Wimbo huo unaitwa Put You On, ameshirikishwa msanii kutokea marekani Chris Brown na Diggy Simmons.