Ukiwa unaingia Utegi unapokelewa na Taswira ya mji unaokua kwa kasi ndogo, sababu ya yote ni moja: Miundombinu mibovu
Kwenye picha ni barabara ya Utegi-Tarime ikiwa imejengwa chini ya kiwango na kutelekezwa na mkandarasi wake.
Wakati wa mvua barabara hii haipitiki, hivyo kuwalazimu watumiaji wa barabara kuzungukia Buturi hadi kwa Ghachuma ili kwenda tarime.