Jina la Chriss limefika Marekani! Ni habari nzuri kwa Mtanzania huyu
Alimchora Ne-yo na kisha kumtag picha hiyo kupitia mtandao wa Instagram, kitendo ambacho kilipelekea Ne-yo kushare picha hiyo na kumpongeza.
Hizi hapa ni baadhi ya picha alizochora.
| Yemi Alade |
| Taraji Pendo Henson |
| Mwanadada Linah |
| Rihanna |
| Chriss Brown |
| Prof Jay |
| Ciara |

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena