
Baada ya juzi kuripoti matatizo ya wanafunzi wa Rorya waliokwenda kushiriki Umisseta Bunda atimaye mh Mbunge achukizwa na kitendo hicho na kuamua kunitoa nilipo na kwenda kuwaona watoto.vilevile amechukizwa na kitendo cha kutokutarifiwa kwamba mashindano yameanza.Nimemwona juzi Mbunge wa Bunda akigawa vifaa kwa shule za bunda.nikajua Rorya bado awajawa tayari.sikushirikishwa kabisa.nimaneno ya mh Mbunge.vijana wanasema wao ndo walikuwa wakiwatolea mfano kwamba wao ndo wamekuja kienyeji awakuwa na jezi zakuwatambulisha kama wana michezo.Atimaye wamefurai.wamepewa T sut na jezi pea tatu.vilevile wamepata sh 10000/kwa kila mmoja.Jamani neno moja kwa Lakairo.sambaza#zaidi

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena