Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt John Pombe Magufulia amewaonya waandishi wa habari na wanasiasa kwa kuacha kutoa takwimu za uongo kwa wananchi. Huku akiweka wazi kiasi cha faini mtu anachotakiwa kulipa baada ya kutoa takwimu hizo. Tazama video hii akieleza.
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena