
Ndege aina ya Boeing 787 (Dreamliner) mali ya Shirika la ndege la #Tanzania imeanza safari yake ya kwanza nchini tangu ilipotua.

#Dreamliner787 imekamilisha safari yake ya kwanza baada ya kukanyaga ardhi ya Kilimanjaro saa 1:17. Ndege hiyo ilikuwa imetoka Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere saa 12:35, ikiwa angani kiwango cha juu cha spidi ya ardhini kilichoshuhudiwa ilikuwa ni kasi ya Kilometa 705 kwa saa
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena