Unakwama Wapi? Kutana na mrembo Pammy Benjamin​ (PammyJuice) ....Licha ya changamoto mbalimbali za kila siku lakini anaamini katika Ujasiriamali, Nodto zake ni Kumiliki Kampuni kubwa na kuajiri vijana wenzake... @RoryaTv | Instagram, Facebook & Twitter Usisahau Kuacha Maoni yako hapa chini na Ku-Subscribe.