Play gal – 08
Ilipoishia...
...nikachukuwa simu yangu
nakutuma meseji kwa John..
'...John mpenzi, angalia chini ya
uvungu wa kitanda chako,
Kama ulidhani umenitoa bikra
hapa umechemsha, nakifupi tu,
NIMESHAATHIRIKA ...
Endelea...
Nilipomaliza kuituma tu, nikaizima simu
yangu nakuirudishia kwenye kipochi huku
nikifurahia kitendo nilichomfanyia John,
"..hapa na bado, nitahakikisha nimeumaliza
ukoo wao wote...!"
Nilijisemea peke yangu huku nikipanda
daladala ya kuelekea posta kwa usiku ule..
Sikuumia moyoni kisa John ameniacha bali
nilikuwa nafuraha ya kumuambukiza
ukimwi..
"..mh huenda sina hata huo ukimwi, halafu
najisifu sifu, embu ngoja kesho nikitoka
kwenye kipindi asubuhi niingie hospitali.."
Bado nilikuwa nikijiuliza nakujijibu
mwenyewe huku daladala ikikatiza maeneo
ya magomeni kuelekea posta..
Mwendo wa kama dakika 20 ulitosheleza
kunifikisha pale chuoni 'Cbe ndani kabisa
ambapo ndipo hosteli zetu zilipo,
Nilipofika tu kwenye 'rumu' yangu
sikumkukuta Aisha hivyo niliamini tu atakuwa
kaenda kujirusha viwanja hivyo breki ya
kwanza nikabadilisha nguo zangu nakuvaa
kanga kisha nikaingia bafuni nakujisafisha
zile 'tomato sauce' bandia zilizokuwa kwenye
ile bikini yangu pia kwenye naniii yangu,
Nilipomaliza nikarudi mpaka rumu
nakuiwasha ile simu yangu.
Meseji kama 5 ziliingia mfululizo na zote
zilikuwa zimetokea kwa John, alikuwa
akinitukana na kulaani kitendo
nilichomfanyia nakunihakikishi a ama zangu
ama zake siku akinishika, nilizisoma zile
meseji kisha nikafyonza kwa dharau
nakuzifutilia mbali,
"..akijifanya mjanja namfanya kama
nilivyomfanya kaka yake 'Jerry..' eti anataka
kuoa bikra..?, bikra aende huko kwao Pemba
tena vijijini na umalaya wake ndio atapata
mabikra.."
Nilizungumza kimoyo moyo huku hasira kali
iliyoambatana na dukuduku rohoni
vikinishika nakutamani nimrudie usiku huu
huu..
~ Baada ya wiki 2 ~
Nilivalia nguo ya 'baibui' huku nikijifunika
mpaka eneo la paji la uso, kama muislamu vile
sikutaka kusindikizwa na mtu yeyote zaidi ya
kubeba kamkoba changu nakuelekea
hospitali ya mnazi mmoja tena kwa
kujiamini...
Niliingia mpaka ofisi ya dokta niliyokuwa
nikimfahamu nilimweleza nia yangu yakuja
kupima kisha akanichukuwa damu
nakwenda kuipima.
Haikupita muda akarudi,
"..enh niambie dokta imekuwaje mzima.."
"...unaweza kuniambia huyo mtu mara ya
mwisho kukutana naye kimwili ni lini..?"
"..dokta zimeshapita kama wiki mbili sasa.."
"...matokeo yako haya hapa hauna tatizo lo..."
"..kweli dokta..?"
"..yeah ni kweli kabisa haujaathirika ila sasa
we leo rudi nyumbani halafu njoo baada ya
wiki mbili, kwani magonjwa kama ukimwi ni
mpaka mwezi upite ndipo vijidudu
vionekane.."
Nilichukuwa yale majibu yangu japokuwa
bado nilikuwa kishingo upande
nakutokumuamini kabisa dokta japo huwa
ananitibia mara nyingi niumwapo..
Nilienda tena hospitali nyingine lakini majibu
yalinionesha nimeshaathirika ,
Njia nzima nilikuwa kama mtu
aliyechanganyik iwa, akili, ukichanganya na
hasira kali ilinituma niende mpaka hospitali
ile aliyokuwa amelazwa Jerry pale 'Ocean
road' napo nilipofika ile wodi sikumkuta na
alikuwa amesharuhusiwa kama siku mbili
zilizopita..
Kwakuwa nilivalia 'baibui' ilikuwa ni vigumu
kuonekana hivyo nikapanda daladala mpaka
msasani alipokuwa anaishi Jerry, nilibadilisha
sauti nakuwa nyembamba sana hivyo mlinzi
akaniruhusu nikapita pale getini mpaka
sebuleni, nikamkuta Jerry yupo kwenye
kibaiskeli spesho kwa wagonjwa huku akiwa
na wanaume wanne na wanawake kama sita
hivi lakini John hakuwepo,
Sikuwa muongeaji wala kuonesha mapepe
yeyote, niliwadanganya kuwa mie ni jirani
yao japokuwa sijaamia muda mrefu maeneo
haya huku nikijitahidi kuizuia hasira kila
nikimwangalia Jerry na nikikumbuka
nilivyopima ukimwi nakukutwa nao,
"..haya yote umeyataka wewe Jerry.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimkazia
Jerry macho ya hasira..
"..nimeanza na Jerry na sasa hivi ni zamu ya
mmojawapo kati ya hawa.."
Niliongea mwenyewe huku nikiwatolea
macho wale wanaume waliokuwa
wanamuuguza Jerry..
Haraka haraka nikaaga nakutoka nje, ile
namuaga mlinzi, akatoka ndani mzee mmoja
wa makamu huku mkononi kamshika
mwanae..
"..bado hujaondoka tu.."
Yule mzee aliniambia kiutani huku akiwa na
lafudhi ya ki pemba,
",mie mbona nimeshafika, nyumbani kweu
jirani tu hapo, sema naifikiria safari yakulekea
kariakoo sasa hivi.."
Nilimtega maksudi kumwambia hivyo kwani
alikuwa na gari lake,
"..ok, mie kwangu magomeni, twende
nitakuacha magomeni uchukue daladala,"
Niliingia siti ya pembeni yake na mtoto wake
alikuwa siti ya nyuma kabisa, huku nikijidai
na kujishembendua ovyo..
"..mtoto wako mzuri, anaitwa nani..?"
nilianza uchokozi taratibu bila ya yeye kujijua
"..anaitwa Latifah.."
"..ohh anajina zuri, hivi we na Jerry mpoje..?"
"..Jerry ni mdogo wangu anayenifuata akitoka
Jerry anafuata John na ndio mtoto wa
mwisho kwenye familia yetu..
"..kazi imekwisha, sasa hapa ndio simwachi
ng'o, haijalishi ameoa au hajaoa au anamtoto
sijui anajiheshimu.., hapa kwangu kaisha...."
NJia nzima nilikuwa nikimwangalia kwa jicho
la kuibia ibia huku matamanio yangu
yakichukuwa nafasi yake, mpaka alipofika
magomeni pale usalama, akapaki gari yake
pembeni,
"...mie naishi hapo kituo cha mbele
'magomeni mwembe chai' lakini natumai
utapanda daladala pale za kwenda kariakoo.."
"..wala usijari, kuna kitu naenda kununua
mara moja halafu nakurudi kwangu 'Ilala'.."
Nilimdanganya tena kwa kujiamini, ile hali ya
ujasiri nilikuwa nayo bila hata kuwa na
mshipa wa aibu..
"..amh nimesahau kujitambulisha, mie
naitwa Grace ni mfanyakazi mwenzake na
Jerry.."
"..ahaa, ni vizuri binti, mimi kama
unavyomwona mwanangu hapa pembeni,
naitwa Baba Latifah au ukipenda niite
Ustadhi Juma..."
"...ok, usijali labda kwa hapa sina 'business
card' zimeniishia, labda ungenipa namba
yako ya simu na mimi nikupe yangu.."
"..ooh, wala usijari Grace, namba yangu ni
0713133633.."
Niliichukuwa nakumpa namba yangu huku
nikiondoka na uhakika wa hali ya juu mpaka
kwenye daladala ziendazo posta na siyo tena
kariakoo kama nilivyokuwa nimemdanganya
hapo awali,
"..na hivi leo sijaingia darasani, lakini Aisha
atanielekeza walichofundishw a leo.."
Niliendelea kuongea mwenyewe huku nikiwa
ndani ya daladala maeneo ya 'fire' karibu na
kituo cha 'akiba' ambapo ndipo
ninaposhukia kwenda chuoni kwetu 'cbe'.
Nilipofika tu 'hostel' breki ya kwanza ilikuwa
nikuvua ile mi nguo ya baibui kwani ilikuwa
imenijazia joto sana,
"..shosti kwa mishemishe, hata hutulii..?"
Alikuwa Aisha akiongea na mimi.
"..nitulie wapi wakati mjini kuna mambo
mengi! Haya embu niambie mlichofundishwa
leo..?"
"..leo tumefundishwa somo moja tu.."
"..lipi hilo"
"..Entreprenuer .."
"..na mwalimu wa 'Law' hakuingia..?"
"..yule katuambie mpaka wiki ijayo hivyo
tujiandae kwa 'test' kutoka kwake.."
****
Usiku wote akili ilikuwa ikimuwaza Baba
Latifah, kila muda nilipotaka kumtumia meseji
nilikuwa nasita nakuhisi huenda akaipokea
mke wake nikaharibu kila kitu nakumkosa
kabisa, hivyo nikajilalia zangu mpaka
asubuhi..
Nilikuwa nakipindi asubuhi hivyo nilitumia
masaa mawili nikawa sina tena kipindi,
"..kwa muda huu kama hayupo ofisini sijui.."
Niliichukuwa simu yangu nakumpigia baba
Latifah, lakini iliita tu nakukatwa hapo hapo,
Woga ulianza kuchukuwa nafasi yake katika
mwili wangu huku akili ikinituma kuwa
huenda ameshajua mchezo wote
ninaoufanyaga..
Nikiwa ndani ya dimbwi la mawazo kwa
muda mfupi mara simu yangu ikaita,
harakaharaka nikaangalia jina lilikuwa ni
baba Latifah, nikaipokea kwa pozi na
tabasamu zito,
"..hallow,"
"..yeah, nani Grace?"
"..ndio unaongea na Grace.."
"..nisamehe binti, nilikuwa naendesha gari
ndio maana niliikata simu yako lakini usijari,
nimeshafika na kwasasa nipo hapa hapa
ofisini kwenu.."
"..uko wapi baba Latifah..?"
Niko hapa 'aiport' unapofanyia kazi na
mdogo wangu Jerry, na nimekuja kufuatilia
pesa zake kwa ajili ya matibabu, wewe uko
kwa wapi..?"
Nilijihisi mdogo ghafla kama kidonge cha
'piriton' huku nikiamini kwa asilimia zote
nitakuwa nimeshaharibu haswa akiulizia jina
la Grace akaambiwa hamna jina hilo
nitakuwa simpati tena.
Hapo hapo akili yangu ikachemka ghafla
nakupata wazo nakumjibu..
"..nimetoka ofisini na nipo posta kuna bidhaa
tumeleta hivyo kwa leo sintoweza kurudi
ofisini mpaka kesho, lakini nahitaji kukuona
leo jioni kuna vitu ninavyo nataka umpelekee
mgonjwa 'Jerry' mie nimebanwa sana.."
"..wala usijari binti, wewe niambie nikukute
wapi..?"
"...kwa sababu nitakuwepo posta mpaka jioni
sana, nitakutafuta kwenye mida ya saa kumi
na mbili, samahani kwa usumbufu lakini.."
"..kuwa na amani kabisa binti yangu.."
Nilimaliza kuongea na simu huku furaha
kubwa nikiwa nayo, nikatafuta nguo ya
kuvaa ambayo itaendana na zile za
wafanyakazi wa 'airport'
Hatimaye nikapata kisketi cha bluu na shati
jeupe lililonipana na nikachukuwa kikoti cha
Aisha cha bluu nachenyewe chakubana na
kisha nikafunga funga mtandio wa bluu ndio
ikawa kama tai..
Saa kumi na mbili kasoro nilikuwa nipo
'Subway' posta nikiwa nimeifunga kanga
yangu ndani ya karatasi la kuhifadhia zawadi
na juu yake nikiandika maneno 'Get well soon
Jerry' (ugua pole Jerry) huku nikimsubiri baba
Latifah...
Nilimpigia simu kujua amefika wapi,
"..hallow, nipo hapa 'subway' posta
nakusubiri.."
"..nami nakaribia nipe dakika kama kumi.."
Sikusubiria sana akawa ameshafika,
nilijifanya ninaharaka sana na nimechoka na
mizunguko toka asubuhi nilipotoka na
wenzangu kumbe wote uongo..
"...pole sana na kazi, ndio majukumu yalivyo.."
"..chukuwa hii ni zawadi kwa Jerry
ataifurahia sana akiifungua na utamwambia
kuwa imetoka kwa wafanyakazi wenzake.."
Aliichukuwa,
"..ok, kwakuwa umechoka sana wacha
nikusogeze mpaka karibia na kwako,
uliniambia unaishi wapi tena..?"
"..Ilala boma.."
Giza lilikuwa limeshatanda, tukaingia ndani ya
gari lake, Nikamuwahi kabla hajaliwasha
nikamshika mkono, akashangaa..!!
"...najua umeoa na una mtoto, ningependa
leo nikucheleweshe kidoogo kurudi kwako.."
Baba Latifah alikaa kimya huku akihema juu,
hapo hapo nikavua kikoti changu
nakusingizia joto..
Akiwa bado ananishangaa nikaanza kuvua
vishikizo vya shati huku kisketi
nikikipandisha kwa juu nakuachia mapaja
wazi.
=>nawaombeni kila anayesoma awe ana
share sana,ili nipost mara nyingi.
Itaendelea baadae saa mbili usiku, usikosee, toa maoni

0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena