Unapo kuwa nyumbani , tena ni vizuri
ikiwa weekend mkiwa wote mko nyumbani, hakikisha unapata nafasi ya kuoga
pamoja na mpenzi wako, hivi ni vitu vidogo dogo sana vinavyoweza
kufanya mapenzi yenu yawe mapya kila siku. Wakati wa kuoga fanya mbwe mbwe kidogo
msugue mwenzako, mgongoni hata sehemu nyingine hii sio kwa wanawake tu
hii ni kwa wapenzi wote wawili tena hususani zaidi kwa wanaume hili ndio
zoezi lao, mkimaliza kuoga chukua taulo na mfute mke wako vizuri kisha,
chagua yale mafuta anayoyapenda zaidi mpake huku mkipiga story mbili
tatu.
Inabidi tufahamu kuwa kunavitu unaweza
kuviona ni vya kipuuzi sana kwenye mapenzi lakini, ndio vinavyokukosesha
maksi kila siku. Usipomfanyia hivyo kuta watu wengine watafanya halafu
utaonekana huna maaana..!! Kantagaze Nimekwambia
0 Comments
Unapenda kuhabarika? Jiunge nasi Katika Twitter na Facebook ili tuhabarishane.
Kumbuka Kuacha maoni yako hapa pindi usomapo habari zetu. Karibu Tena